Mcheza tenesi Victoria Azarenka
amerejea uwanjani na kuanza vibaya baada kushindwa kutamba mbele ya
Mjapani, Risa Ozaki, na ukiwa ndio mchezo wa kwanza kwa Azarenka, baada
ya kuwa nje ya mchezo kwa muda wa mwaka mmoja.
Mcheza tenesi huyu alipumzika kwa muda kucheza mchezo huo baada ya kujifungua mtoto mnamo mwezi Desemba mwaka jana.
Azarenka baada ya michuano ya Mallorca atashiriki michuano ya wazi ya Wimbledon itayofanyika mwezi ujao
0 comments :
Post a Comment