Atletico Madrid imefungiwa kusajili hadi dirisha la usajili la Januari mwaka 2018 Madrid, Hispania. Klabu ya Atletico Madrid iliyofungiwa kusajili misimu miwili, imeripotiwa kufanya usajili wa kimyakimya kwa nyota wa Sevilla, Vitolo.
Atletico Madrid imefungiwa kusajili hadi dirisha la usajili la Januari mwaka 2018.
Vyombo vya habari nchini Hispania vimeripoti tayari mazungumzo kwa ajili ya mkataba na mchezaji huyo yamemalizika.
Radio moja nchini humo, Cadena Cope imetangaza kwamba tayari mchezaji huyo amesajiliwa kimyakimya, lakini hatahesabika kama mchezaji wa Atletico hadi mwanzoni mwa mwakani.
0 comments :
Post a Comment