Mkataba huo umesainiwa Kampala, Uganda na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania, Prof. Paramagamba Kabudi na Waziri wa Nishati wa Uganda, Mhandisi Irene Muloni.
Utiaji huo wa saini unakuja siku chache baada ya Marais wa Nchi hizo Dkt. Magufuli na Yoweri Museveni, kutia saini tamko la pamoja kukamilika majadiliano ya vipengele vya mkataba walipokutana Ikulu, Dar es Salaam.
0 comments :
Post a Comment