BIASHARA YA POMBE YASHUKA KOTE DUNIANI

Idadi ya watu wanaojivinjari kwa mvinyo imepungua, kulingana na ripoti ya shirika mpya linalofuatilia unywaji wa pombe duniani.
Uuzaji wa pombe uliendelea kudidimia mwaka jana huku pombe ya Cider iliyoanza kupata maarufu sasa hainunuliwi kama hapo mwanzoni.
 Unywaji wa pombe uliendelea kupungua mwaka wa 2016

Soko la kimataifa la pombe lilipingua kwa asilimia 1.3 mwaka wa 2016, hali iliyosababishwa na kushuka kwa ununuzi wa pombe kwa asilimia 1.8.
Uuzaji wa pombe ya Cider ulishuka kwa asilimia 1.5 baada ya miaka kadhaa ya kufanya vizuri.
Kulingana Shirika la fedha duniani, kukua kwa uchumi wa nchi huwa inaachangia kuongezeka kwa unywaji wa pombe
Uuzaji wa pombe nchini China ulishuka kwa asilimia 4.2, huku nchini Brazil na Urusi ukishuka kwa asilimia 5.3 na 7.8 mtawalia.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment