''NIENDE KWA MGANGA NDIO NITOBOE'' - EDU BOY

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Rocky City Mwanza, Edu Boy ambaye anafanya vizuri na wimbo wake ‘Naiee’ aliomshirikisha Bill Nass, amekiri ni kweli katika muziki kuna mambo ya kishirikina kwani hata yeye alishawahi kushawishiwa kuingia huko. Edu Boy amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, hawezi kukataa kwamba uchawi haupo lakini ni kitu ambacho yeye binafsi hakiamini.


 “Uchawi upo hatuwezi tukakataa, na mimi mwenye nimeshawahi kushawishiwa sana Edu Boy niende kwa mganga. Ndio maana nikaimba “Niende kwa mganga ndio nitoboe,” nitoe kafara mambo kama hayo,” amesema.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment