MAN UNITED YAMSAINI VICTOR LINDELOF KWA PAUNI MILIONI 31

Manchester United wameafikia makubaliano ya kumsaini mlinzi raia wa Sweden Victor Lindelof kutoka Benfica kwa kima cha pauni milioni 31. United wanasema kuwa kilichobakia ni makubaliano ya kibinafsi na uchunguzi wa kiafya ambavyo viitafanyika wiki ijayo. Lindelof, ambaye ameichezea nchi yake mara 12 anatarajiwa kushiriki mechi ya kirafiki nchini Norway siku ya Jumanne











Mchezaji huyo mwenye maiak 22 ambaye amekuwa akiichezea Benfica tangu mwaka 2012 atakuwa mchezaji wa kwanza kusainiwa na Man U msimu huu. Lindelof alicheza mara 47 klabu hiyo ya Ureno msimu uliopita
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment